
Morning Guys Binadam huheshimika kwa sababu ya kuwa na msimamo ambao hata akitishiwa na Bunduki atausimamia mpaka mwisho bila kutetereka..ninasema tena mimi ni CCM 100% na ninasema tena kwamba Uchaguzi huu kwa kazi tunayoifanya CCM ya kuwashawishi wananchi na kuonyesha records za utawala wa CCM nina uhakika wa kushinda Uchaguzi huuu kwa 80%....nia ninaaahidi mbele ya huu Umma CCM ikishindwa nitahamia LIBERIA kuongozwa na Mbebezz Super Mtindizzz U know....CCM HOYEEEEE! Na KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!! Je kuna mwenye tatizo na msimamo wangu? Kama unaikubali CCM sema hapa bila kuogopa KIDUMUZZZZZ! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment