Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye
pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaaUhamiaji leo kuanza kuchunguza uraia wa Zitto wakati ameshawahi kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Habari zaidi soma gazeti la Majira la leo.
0 comments:
Post a Comment