Thursday, September 3, 2015

- Ilikuwa ni One of the saddest day of my life kuona Vijana wengi hivi hawana ajira niliamuahidi Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda@paulmakonda aliyewaita kujaribu kuwasaidia kwamba nitapigana kuwasaidia kupata ajira kwa wale nitakaoweza...jana nilimpigia DC kumfahamisha nimefanikiwa kuwapatia ajira ya Muda Vijana 5 kati ya hawa kwenye picha na maana yake ni kwamba nimefanikiwa kuondoa Vijana 5 kutoka Mtaani na ninaendelea kuwapigania wapate kazi ya kudumu muhimu ni tayari wana ajira ya Miezi kama 3 na mwanzo ndio.muhimu I hope hawataniangusha kama inavyokuaga...now ukifanikiwa kidogo wakumbuke na wengine ambao bado kufanikiwa Mungu anasema hivyo U know so I hope nimefanikiwa kumgusa mtu mmoja tu aliyefanikiwa kukumbuka wengine na pia kwa wale msio.na ajira ukisikia wito wa wasio na ajira nenda huwezi kujua hawa niliowasaidia wasingekuja siku ile nisingewajua mpaka kuwapigania kuwasaidia na Mungu kusikiliza maombi ya kuwasaidia and I wish ningeweza kuwapa ajira vijana wote hao kwenye picha just think about it guys! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment