Thursday, September 3, 2015

 Morning People "TUNATAKA MABADILIKO" ndio wimbo wa Upinzani I always wonder nani anayetaka hayo Mabadiliko? na what mabadiliko? atayaleta nani?..Lowasa na Sumaye wote wamewahi kushika nafasi za kuleta mabadiliko kama ni Elimu walikuwa na nafasi kubwa sana ya kuibadilisha na kuifikisha wanapotaka kwa mfano under Utawala wa Mwalimu Literacy ilikuwa 90%, Sumaye aliikuta ikiwa 75% miaka 10 ya Uwaziri Mkuu wake ikashuka mpaka 69%, akamuachia Lowasa ambaye naye aliishusha to 63% the FACT is katika kipindi cha Uwaziri Mkuu wao wa Miaka 12 Literacy imeshuka kwa 12% na majuzi wamegombea Urais wa CCM with this record now moja ya sababu ya CCM kuwakata ni kushindwa kwao kusimamia Elimu haoo wamekimbilia UKAWA na sasa wanadai wataibadilisha Elimu kuwa bora zaidi miaka 12 ya kukaa kwenye Power wameshindwa na tuna wananchi masikini ya Mungu wasioelewa kitu wanawashangilia eti wakombozi hahahah!..kwenye kesi ya Babu Seya watoto 9 waliletwa mahakamani na wazazi wao na Mwalimu wao mwenye asili ya kikongo aliyekuwa anawatoa madarasani na kuwapeleka kwa Babu Seya kuwalawiti, ushahidi umeonyeshwa watoto wametaja alama walizonazo Babu Seya na Mtoto wake kwenye sehemu zao za siri now Lowasa anataka kutuaminisha kwamba Serikali ambayo yeye mwenyewe alikuwa Waziri Mkuu wake ilifanya maajabu ya kutengeneza huu ushahidi ikiwa ni pamoja na kuwashawishi wazazi 9 kukubali kujitokeza mbele ya Public na kusema watoto wao wamelawitiwa huku wakijua wazi wanasema uongo now kama Lowasa alikuwa Waziri Mkuu wa Serikali iliyomfunga Babu Seya kwa uongo then what is he good for mabadiliko? Whaat mabadiliko? hahaha jamani somebody out there please nipe Radio so I can speak this things ili kila MTanzania anisikilize nikisema haya wafunguke akili na kujua kwamba wanadanganywa mchana kweupe.UKAWA kwa kuwapokea hawa Mawaziri Wakuu 2 mmepoteza legitimacy ya kuwa "WAKOMBOZI" if you will cause hawa hawana a CLEAN RECORD I mean nimewahi kuwauliza wakongo wengi kuhusu the big picture ya ishu ya Babu Seya wakaniambia ni masharti ya kuroga ili wakubalike kimuziki CCM tunayo mapungufu yetuwa kuyarekebisha sio Lowasa na Sumaye cause hawana hiyo record! ASUBUHI NJEMA! - le Mutuz

0 comments:

Post a Comment