Mama
Salma Kikwete akijiunga na viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro kumlaki
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa katika Uwanja wa
Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais
kwa tiketi ya chama hicho tawala
Maelfu
kwa maelfu ya wananchi wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa
mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho tawala
Dkt. John Pombe Magufuli
Sehemu
ya gharika la wananchi katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili kwa mkutano wa kampeni wa mgombea Urais kwa tiketi ya chama
hicho tawala

ya gharika la wananchi likimpokea mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM
Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro
Jumapili kwa mkutano wa kampeni
Mgombea
wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwa
shangwe katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili kwa mkutano wa
kampeni
Rais
Kikwete akimnadi mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe
Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
Rais
Kikwete na mgombea wa Urais kwa Tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli
wakiwa katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Morogoro Jumapili
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia
mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo.
Wananchi
wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye
mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi
hao sambamba na kuzinadi sera zake
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa
Jamhuri jioni ya leo koani Morogoro

0 comments:
Post a Comment