Tuesday, September 8, 2015


Shati maridadi begani kuna bawa la ndege......Modo jeans designer Hussein Hassanali..........Ndevu zimenyooka timber kama barabara ya mwendokasi.....Moka inawaka waka kama kimondo!....Kipilipili kichwani kimekolea easy wave na mafuta ya korie.....Mkononi Funguo ya Banda la Mbuzi yenye Holder ya Mercedes Benz.......
Kijana mtanashati nimegonga Scrub mpaka kwenye Ulimi,...
Haya ndiyo maisha yetu vijana wengi wa Dar es salaam 


.....tumesoma Mwananyamala lakini Certificate za Cambridge......kazi hakuna.....Wallet imevimba kwa vitambulisho mpaka vya Chekechea.....na tunashinda kwenye lifti za PPF tower.....na hapo mifukoni tunatembea na time table ya bia za offer!
‪#‎Maisha‬ haya ya ujanja ujanja mpaka lini jamani?...daaah Bongo Dar es salaam!.

0 comments:

Post a Comment