Tuesday, September 8, 2015

Huu ni ujumbe unaodaiwa ulitokea kwa Dr. Slaa kwenda kwa Gwajima, wasomi wengi nchini wamehoji ukweli wa ujumbe huu ambao unaonyesha kuandikwa na mtu ambaye hakuenda Shule kabisa ambapo Dr. Slaa ni PhD Holder. Wamesema Wasomi wengi haiwezekani kwanza kwamba Katibu Mkuu wa Chadema chama kikubwa cha Saisa nchini anaweza kujiuzulu kwa message kama hii tena kwa Rafiki wa Lowasa badala ya Mwenyekiti wake Mbowe.



0 comments:

Post a Comment