Nimesema hivi tatizo la Chadema bado ni lile lile la kutoaminika na Wananchi na matokeo yake yamekuwa Viongozi wengi Credible kuwakwepa na the whole sagga ya Zitto haikuwasaidia kabisa na ishu ya kuaminiwa na this time wakawachokoza Wasomi na Ishu ya Mwigamba ikawaharibia kwenye Media I mean mambo mengine ni very unnecessary kwa watu waliokuwa wamepania kuonyesha Umoja wa Upinzani na wa kitaifa Mwenyekiti wa UKAWA, Makamu Mbatia, Mgombea Lowassa, Msaidizi Mgombea Sumaye ohhh my God wote hawa ilikuwa ni lazima watokee Kaskazini? Matokeo ni Viongozi wengi wenye heshima na.jamii wameogopa kuja huko na.ambao kuja kwao kungewasaidia sana na TRUST from the Public...halafu tatizo lingine kubwa limewafanya UKAWA kushindwa huu.Uchaguzi ni kinamama kinaonekana ni Chama cha Mfumo Dume sana yaani kweli huko ndani ya UKAWA hakuna Kiongozi hata mmoja aliyefikiria kurekebisha upande wa kinamama halafu huu ubabe babe wao unawatisha sana kinamama ambao ndio wapiga kura hasa katika Historia za Uchaguzi Tanzania...Muungano wa emergency ya kutafuta power ulikuwa ni sawa ila.tatizo lake ni moja kwamba ulishindwa kuwa attract Viongozi Credible kutoka CCM na matokeo yake yakawa CCM kuishia KUJIVUA MAGAMBA na kuwaaminisha Wananchi kujitayarisha na a FRESH START ya Magufuli...aidha you like this or not in the end POLITICALLY ni the FACT that will come to pass na huwezi kubadili anything a missed opportunity kwa Opposition Tanzania ni kwa sababu pia ya kukosekana kwa serious People wakuamini kwamba Chadema au UKAWA have what it takes to win this.war...Chama chenye Dalili za kushinda hakiwezi kuitisha Mkutano na.Media wakaja waandishi wachache kama.last night Mbatia angekuwa na.akili kubwa ya.Siasa alitakiwa kuahirisha kile kikao kukwepa aibu wakati huu wa Vita vikali vya kushika.Dola...kuna wanaosema amani itaharibika nasema hamna lolote kwa sababu vyombo vya Dola vinajua kila kitu kinachoendelea tena kwa undani sana wa wahusika na mbinu zao.zote ukimya wa Dola sasa hivi haina maana haipo au imesinzia hapana ndio style yao ya kufanya kazi huwa hawana papara uchaguzi utafanyika na amani itaendeleaa kama kawa wakorofi watashughulikiwa U know! - le MutuzWednesday, September 16, 2015
Posted by Williammalecela.com on Wednesday, September 16, 2015
4 comments
Nimesema hivi tatizo la Chadema bado ni lile lile la kutoaminika na Wananchi na matokeo yake yamekuwa Viongozi wengi Credible kuwakwepa na the whole sagga ya Zitto haikuwasaidia kabisa na ishu ya kuaminiwa na this time wakawachokoza Wasomi na Ishu ya Mwigamba ikawaharibia kwenye Media I mean mambo mengine ni very unnecessary kwa watu waliokuwa wamepania kuonyesha Umoja wa Upinzani na wa kitaifa Mwenyekiti wa UKAWA, Makamu Mbatia, Mgombea Lowassa, Msaidizi Mgombea Sumaye ohhh my God wote hawa ilikuwa ni lazima watokee Kaskazini? Matokeo ni Viongozi wengi wenye heshima na.jamii wameogopa kuja huko na.ambao kuja kwao kungewasaidia sana na TRUST from the Public...halafu tatizo lingine kubwa limewafanya UKAWA kushindwa huu.Uchaguzi ni kinamama kinaonekana ni Chama cha Mfumo Dume sana yaani kweli huko ndani ya UKAWA hakuna Kiongozi hata mmoja aliyefikiria kurekebisha upande wa kinamama halafu huu ubabe babe wao unawatisha sana kinamama ambao ndio wapiga kura hasa katika Historia za Uchaguzi Tanzania...Muungano wa emergency ya kutafuta power ulikuwa ni sawa ila.tatizo lake ni moja kwamba ulishindwa kuwa attract Viongozi Credible kutoka CCM na matokeo yake yakawa CCM kuishia KUJIVUA MAGAMBA na kuwaaminisha Wananchi kujitayarisha na a FRESH START ya Magufuli...aidha you like this or not in the end POLITICALLY ni the FACT that will come to pass na huwezi kubadili anything a missed opportunity kwa Opposition Tanzania ni kwa sababu pia ya kukosekana kwa serious People wakuamini kwamba Chadema au UKAWA have what it takes to win this.war...Chama chenye Dalili za kushinda hakiwezi kuitisha Mkutano na.Media wakaja waandishi wachache kama.last night Mbatia angekuwa na.akili kubwa ya.Siasa alitakiwa kuahirisha kile kikao kukwepa aibu wakati huu wa Vita vikali vya kushika.Dola...kuna wanaosema amani itaharibika nasema hamna lolote kwa sababu vyombo vya Dola vinajua kila kitu kinachoendelea tena kwa undani sana wa wahusika na mbinu zao.zote ukimya wa Dola sasa hivi haina maana haipo au imesinzia hapana ndio style yao ya kufanya kazi huwa hawana papara uchaguzi utafanyika na amani itaendeleaa kama kawa wakorofi watashughulikiwa U know! - le Mutuz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Well said LeMuz...keep it up bro
ReplyDeletekweli tupu
ReplyDeleteVery very true.......
ReplyDeleteIts true Le Mutuz..... Umeona mbali maelezo kuntu
ReplyDelete