Wednesday, September 16, 2015

Vitendo vya rushwa kwa baadhi ya maaofisa wa polisi kitengo cha usalama barabarani vimeendelea kushamiri kwa nchi za afrika mashariki.Wakati tanzania jeshi la polisi likiwa katika safisha safisha ya trafiki wasio waaminifu huko nchini kenya askari polisi aliyenaswa akia amekwisha chukua hongo kutoka kwa dreva mmoja alilazimika kuzimeza noti hizo baada ya 'kutaitiwa' na 'takukuru' wa kenya.
Gazeti la TAIFA LEO tolea la jumatano septemba 16,2015 limeripoti kisa hicho na kuweka mbele picha ya 'trafiki' huyo aliyemeza noti.Kesi ya polisi hiyo bado inanguruma katika mahakama moja nchini kenya.Hapo chini ni picha za polisi huyo wa kenya.

0 comments:

Post a Comment