Tuesday, September 29, 2015


Mgombea Urais wa UKAWA Lowassa jana kwa mara nyingine tena kama Geita na Mtwara, ameshindwa kuhutubia Mkutano mkubwa uliokuwa unamsubiri Mkoani Tanga,
safari hii alisimama na kuongea kwa dakika moja tu na Wasadizi wake wakawaaambia Wananchi waliokuwepo uwanjani kumskiliza kwamba Lowassa amehofia wananchi kuzimia hapo Uwanjani kwa hiyo hataongea tena mpaka siku nyingine. Inasadikiwa kwamba hali ya afya ya mgombea huyo ni tete sana kwamba anatakiwa anapofika tu kwenye Mikutano asizidishe Dakika zaidi ya 20 kabla hajaongea zikizidi inabidi aondolewe haraka sana ni kutokana na ushauri wa madaktari na ndio sababu ya UKAWA na baadhi ya Viongozi wa Dini kutoka Mikoa ya Kaskazini kumshinikiza Waziri Mkuu wa zamani Sumaye, kujiunga na UKAWA ili awe kama taili la spea inasadikiwa kwamba Viongozi wengi wa juu wa UKAWA walipatwa na wasi wasi sana kutokana na hali ya afya ya mgombea huyo amabye pia alishindwa kuhutubia Mkutano wa Jangwani na kuwaomba wananchi waende wakasome hotuba yake kwenye Website.


0 comments:

Post a Comment