Watu
wawili wamefariki dunia akiwemo askari wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na
wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ngorika kuigonga
kwa mbele Toyota Costa eneo la Misugusugu mjini Kibaha .
Ajali hiyo
imetokea wakati basi hilo likitokea Dar esalaam kwenda Arusha ambapo
ilipofika eneo hilo dereva alihama upande wake wa njia kuyapita

0 comments:
Post a Comment