Tuesday, September 1, 2015

" Leo nina uchungu mkubwa..yaani leo CHADEMA inajaza watu na mabasi mnasema mafuriko.. Siko tayari. Udanganifu huu tuliuona CCM.. bahati nzuri CCM wao wamevaa mavazi yao...sisi wakwetu wamevaa kawaida. Mnasomba watu na mabasi mnasema mafuriko.." - Dr Slaa

Dr. Slaa:- "Baada ya mimi kumsema wazi Lowasa bungeni nikiwa mbunge wakati wa Richmond kuwa ni fisadi Rostam Aziz alinipigia simu na kunitisha kwamba nina dakika Tano tu za kuishi"

0 comments:

Post a Comment