Josephine Mushumbusi, mke wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Peter Slaa anadaiwa kula bata za hatari nchini Marekani (United States of Amerika au U.S.A) akiwa na familia yake, Amani limenyaka maisha yake nyuma ya pazia.
Ishu hiyo inakuja ikiwa ni siku chache tangu Josephine alipoibua gumzo kubwa ndani na nje ya Bongo baada ya kuanikwa mambo yake ya siri na Askofu wa Kanisa na Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akimtuhumu kumteka mumewe, Dk. Slaa na kumshawishi kuachana na siasa. Thursday, September 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment