Wednesday, September 9, 2015


 Naibu Waziri wa Sheria na Katiba,ambaye pia ni mgombea Ubunge viti maalum upande wa akina Mama mkoa wa Tanga (UWT),Mh Ummy Mwalimu akimuombea Kura za kutosha mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ili aweze kuibuka mshindi na kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano.

1 comment:

  1. Hakika Mheshimiwa Ummy Mwalimu wewe ni HAZINA ya Tanzania. HAPA KAZI TU...CCM OYEE....MAGUFURI OYEEE

    ReplyDelete