Monday, September 7, 2015

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema kuwa walioficha fedha nje ya Nchi watazirudisha endapo Serikali ya UKAWA itaingia madarakani -Aliyasema hayo Mkoani Tabora wakati akihutubia mkutano wa kumnadi mgombea Urais wa tiketi ya UKAWA.

0 comments:

Post a Comment