Posted by Williammalecela.com on Monday, October 26, 2015
 |
| Wazee wa Mabadiliko wakiwa wameuchapa usingizi live kwenye mkutano na wananchi. |
 |
| Mikoa yote 2 UKAWA wamefanya vibaya sana pamoja na picha hizi za kisanii za kumpigia deki Barabara mgombea wao Lowassa, Mwanza hawakupata kiti cha ubunge hata kimoja na Musoma wamepigwa viti 6 kwa 3 tu, matokeo sio sawa na hizi picha za kisanii!! |
 |
| Walisema haya ni mafuriko ya Mwanza kumbe ni picha ya Rome kwenye kuhiji wao wakasema ni mafurikoz yao Mwanza, wamejiponza. |
0 comments:
Post a Comment