Monday, October 26, 2015

Tanga

Wananchi walijaa sana mkutanon wengine wakazimia mpaka mkutano uliahirishwa
Matokeo ni kuwa CCM imeshinda majimbo 9 kati ya 12, jimbo moja matokeo bado, majimbo mawili uchaguzi haukufanyika.


Musoma
 

Wananchi walideki barabara ili Lowassa apite, matokeo ni kuwa kati ya majimbo 10, CCM wamebeba 6, Chadema 3, moja uchaguzi bado

Mwanza

Wananchi walikesha kwenye uwanja wa Furahisha wakimsubiri Lowassa, matokeo ni kuwa CCM imebeba majimbo yote.

Le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment