Monday, October 26, 2015



"Napenda kuwatoa hofu wana Ukonga wote. Matokeo mnayoyaona mitandaoni toka Jana muyapuuzie kwani Tume haijatoa wala kutangaza matokeo ya jimbo la Ukonga. Majumuisho na uhesabuji wa kura bado unaendelea muda huu. Matokeo ya kweli utayapata kupitia page hii..naomba shea taarifa hii na wengine ili wasiendelee kubabaika na taarifa za mitandao..pia like page hii upate update zote kabla,na baada ya matokeo..asanteni sana....JS"

0 comments:

Post a Comment