
Hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi wameizingira Ofisi kuu
ya CUF baada ya mgombea urais wa chama hicho,Maalim Seif
Sharif Hamad kujitangaza mshindi dhidi ya mpinzani wake ambaye
Dr All Mohamed Shein
Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wa
CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea
wao wa Urais.
FFU wameingilia kati, wakatoa maonyo wakiwataka wananchi
watawanyike lakini wakakaidi, ndipo nguvu ya ziada ya mabomu ya
machozi ilipotumika




0 comments:
Post a Comment