Monday, October 26, 2015

Mgombea wa CUF/UKAWA Jimbo la Tandaimba Mtwara Ahmed Katani Katani ameibuka mshindi na kutangazwa rasmi kuwa mshindi katika jimbo hilo 

Mgombea wa CHADEMA/UKAWA Bilago Kasuku Samson wa jimbo la Buyungu Kigoma atangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo

Chanzo::EATV

0 comments:

Post a Comment