Posted by Williammalecela.com on Friday, October 16, 2015
 |
| Mbunge wa CCM Ludewa Deo Filikunjombe, amefariki dunia jana usiku kwa ajali mbaya ya Chopailiyoua watu wote waliokuwemo kwenye Chopa hiyo akiwemo Rubani wake Capt. William Silaa baba mzazi wa Meya wa Ilala na Mgombea Ubunge wa CCM Ukonga Mh. Jerry Silaa. Habari zaidi zinakuja baadaye!! |
|
|
0 comments:
Post a Comment