Friday, October 16, 2015

Quote By Jerry Silaa
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji  imefanikiwa kufika eneo la ajiali na kukuta abiria wote na rubani wamepoteza maisha.Nimepoteza Baba na rubani mzuri wa nchi yetu Capt.William Silaa,nimepoteza
rafiki na kiongozi wangu Mhe.Deo Filikunjombe. Nawapa pole wote waliopoteza ndugu zao. Nawaombea marehemu mapumziko ya Amani.
Nawashukuru wote walioshirikiana na familia kusaidia uokozi. 


0 comments:

Post a Comment