Monday, October 12, 2015


Habari zilizotufikia Punde Viongozi wa kata ya mabwererbwere jimbo la mikumi kwa Prof Jay wamekamatwa kwa kosa la kuvamia Nyumban kwa mgombea udiwani kata tajwa na kupora laki 5 pamoja na kumjeruhi mgombea udiwani huyo....Prof Jay ametaka kufanya mipango ya dhamana kwao lakini imeshindikana wameambiwa dhamana itawezekana baada ya wiki mbili yani October 26

0 comments:

Post a Comment