Posted by Williammalecela.com on Monday, October 12, 2015
 |
| Wiki iliyopita tuliripoti kwa makosa kuhusu kifo cha Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Kigoda, lakini tulithibitisha kwamba alikuwa mahututi nchini India kwa kusumbuliwa na Figo, leo imethibitishwa rasmi kwamba amefariki Dunia mchana huu, Mungu amuweke mahali pema peponi. |
0 comments:
Post a Comment