Monday, October 5, 2015

Kamanda Mrisho Gambo, ameteuliwa tena jana na Rais JK kuwa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma baada ya kupumzika kwa muda kutoka kwenye kazi hiyo ambapo mara ya mwisho alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Tanga. Uchapaji kazi wa kasi na mbinu za kisasa ulimletea matatizo makubwa sana na Viongozi pamoja na Wananchi wasiotaka mabadiliko lakini hakuwahi kurudi nyuma wala kusita kupigana kusimamia sera za CCM, na mara ya mwisho aligombea ubunge wa Ilala na kushindwa lakini aliendelea kukipigania Chama Cha Mapinduzi.

0 comments:

Post a Comment