Tume
ya Uchaguzi Zanzibar imeufuta uchaguzi mkuu wa Zanzibar kutokana
na kuwa na dosari nyingi ikiwemo uchaguzi kutokuwa huru na
wahaki
Mwenyekiti wa ZEC ametoa tangazo hilo kupitia shirika
la utangazaji la ZBC mchana huu kuwa amechukua maamuzi hayo
baada ya kujiridhisha kuwa uchaguzi uligubikwa na dosari nyingi.

0 comments:
Post a Comment