Fainali ya shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search ‘BSS’ inatarajiwa kufanyika leo Ijumaa katika ukumbi wa kisasa kabisa unaoitwa King Solomon, uliopo Namanga jijini Dar.
Itakuwa ni mara ya kwanza katika ukumbi huo mpya kufanya shoo kubwa kama hiyo. Ukumbi huo una hadhi ya kipekee kabisa na mvuto wa aina yake.
Picha & Habari na Imelda Mtema
0 comments:
Post a Comment