Mgombea
urais kupitia chama cha TLP Macmillan Lyimo amesema anaunga mkono kauli
ya mwenyekiti wake wa chama Mh. Augustine Mrema ya ‘kumpigia debe’
mgombea wa chama cha mapinduzi CCM, Dk John Magufuli, kwa madai kuwa
hayo ni maamuzi yake binafsi.
Akizungumza
na EATV, Lyimo amesema kuwa kauli hiyo haijatolewa na mkutano wowote wa
chama, bali ni maoni binafsi kwa kuwa mwaka huu watanzania wanachagua
mtu na siyo chama na kwamba jambo alilofanya Mrema si jipya wa la ajabu.
0 comments:
Post a Comment