Aliyekuwa
mpenzi wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally
ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake lakini
bado anampenda na kumthamini.
Kupitia
kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na
kuandika>>Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili
zaa nae ������ na sio lazima nilale nae na kuamka nae ndio mjue
nampenda – unaweza unampenda mtu kwa mbali na bado ukasimama kwenye
ukweli tu – kwa mimi that’s true love – �� – oh yes nampenda na nina
mpenzi tunapenda ! So what?????‘aliandika
Q


0 comments:
Post a Comment