tukiona tatizo huwa tunataka kujua chanzo kwanza so tatizo kama nyumba ni mbovu ina maana msingi wa ile nyumba haukujengwa sawa sawa Wabongo tuliponzwa sana na msingi wa siasa ya UJAMAA ambayo its Scientifically Root was very Unnatural ndio maana ilishindwa kila mahali Duniani.sera very fragile very deceiving ninaposoma maandishi ya Mwalimu huwa nashangaa AKILI KUBWAZZ like him how he Could not see clearly kwamba ile sera haikuwa sawa kabisa imeishia kutuvuruga kabisa Wabongo ambao mpaka leo tunashindwa kuachana nayo...ni sera iliyotufundisha tatizo namba One la wabongo leo kusubiri kufanyiwa na Serikali au wengine ni sera iliyotudanganya kwamba Binadam wote ni sawa ndio maana anapotokea binadam ana mali kutushinda wengi tunatafuta majibu rahisi sana kwamba anauza unga I mean ni sera zilizotudumaza sana akili Wabongo...hatuwezi kufikirikia kabisa nje ya siasa za Ujamaa tizama humu Instagram nchi zote za wenzetu unakuta watu wanatiririka mawazo makubwa kuhusu matatizo ya Taifa lao na solutions sisi masikini ya Mungu ni matusi tu na lugha za watu wanao onyesha wanaishi lakini WAMEKUFWAZZZ brain dead I mean guys kuwa mjinga ni sawa na kutembea huku UMEKUFWAZZ you are a dead man walking mtu anasema CCM wote ni wezi tunataka mabadiliko tuanze na Viongozi wapya yaani kina Lowasaa, Sumaye, Kingunge, Mgeja na Masha ambao wamejitoa CCM baada ya kushindwa Uchaguzi ndani ya CCM Mwezi wa Saba tu please ninakubali sana kwamba CCM ina mapungufu lakini seriously can you offer this kind of solution kwamba walioshindwa CCM mwezi July leo October ndio wanafaa kutatua matatizo ya Taifa yaliyosababishwa na wizi wa baadhi ya Viongozi wa CCM?...Siasa ya ujaama ilitufundisha umbeya na majungu zamani tulikuww na kipindi cha Radio Tanzania kinaitwa "MIKINGAMO" the heart of it was Umbeya na Majungu kuhusu wanaotuzidi kimaisha mpaka leo tupo vile vile tunaishi kwa kuchungana kuhakikisha wote tupo sawa mmoja akituzidi tu mbio kutafuta sababu za kujipa moyo kwa ujinga wetu wa kuachwa nyuma yule anauza unga bwana! Ahhh yule si Baba yake hujui asingefika pale! MUNGU WASAIDIE WATU WAKO KUFUNGUKA AKILI! THEY ARE DYING CAUSE OF LACK OF KNOWLEDGE! - le Mutuz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment