
Leo Oct 29, Mgombea wa uraisi kwa tiketi ya CCM, Dr John Magufuli anasherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo kupitia accout yake ya twitter ameiombea nchi ya Tanzania amani na Mungu aibariki "Namshukuru Mwenyezi Mungu kunifikisha siku hii adhimu ya leo siku yangu ya kuzaliwa. Ombi langu,tuilinde Amani yetu. MUNGU IBARIKI TANZANIA" Dr John Magufuli
0 comments:
Post a Comment