Thursday, October 29, 2015

Mwaka 2015 unamalizika kwa Wasanii kadhaa wa bongo movie na bongo fleva wakiwemo wa zamani na wa sasa kuonyesha mali zao kama magari pamoja na nyumba wanazomiliki au wanazozijenga.Stori hii ninayotaka kukusogezea inamuhusu Aunt Ezekiel ambae siku kadhaa zilizopita alikua kwenye headlines za  kuhusiana na kusupport majukwaa ya kisiasa.

Aunty alipost picha ya gari lake jipya kwenye instagram na kuandika kuwa gari hilo halijatokana na fedha za kampeni ya chama chochote bali amezawadiwa na mpenzi wake ambaye ni dancer wa Diamond Platnumz aitwae Moze Iyobo….’

0 comments:

Post a Comment