Posted by Williammalecela.com on Thursday, October 08, 2015
 |
Aliyekuwa
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa asema Dr. Magufuli ni Mgombea Urais
ambaye haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga
wala rushwa, ni jasiri! -Aliyasema hayo jana usiku alipokuwa akihojiwa na kituo cha Star TV. |
0 comments:
Post a Comment