Thursday, October 8, 2015

 
Irene Uwoya wa Timu Bajaji ambao wanazunguuka nchi nzima kwa Bajaji Jana walikua kahama wakizungumza na vijana wa Soko kuu la kahama na badae kuungana na Kishimba mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama Mjini kupitia CCM. 

Irene Uwoya na Johari wakiwa Kahama na Kibajaji kumtafutia kura Magufuli na CCM.


Richie Single Mtambalike akiwa na Kibajaji, live at Kahama wakimtafutia kura Magufuli na CCM.

JB Steve Jacobs akiwa na Kibajaji Kahama.



Mgombea Ubunge wa CCM Kahama Mh. Kishimba akiwa na Kibajaji Star Thomas live at Kahama.

Mike wa Kibajaji live at Kahama.

0 comments:

Post a Comment