Friday, October 23, 2015


Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini Mh. Makunga akiwasikiliza wananchi waliondamana jana kupinga kushambuliwa na wafuasi wa Chadema.



Super Mogul Davis Mosha mwenye kofia ya kijani na njano akiongoza maandamano ya amani jana baada ya Msaidizi wake wa karibu sana Mchezaji wa zamani wa Yanga Nsa Job kupigwa jiwe kichwani na kulazwa ICU, mabango mengi ya wananchi hawa waliondamana yalikuwa yakiuliza ni kwa nini wafuasi wa Chadema wanafanya fujo hawakamatwi?




0 comments:

Post a Comment