"Na sasa umefika wakati wa mabadiliko kwa WATANZANIA.
Mmeyakubali na TUNAAHIDI kuto waangusha watanzania.
SERIKALI YA WANANCHI WOTE IMEKUJA SASA.
Ahsante wanabukoba kwa kunituma Mimi na madiwani WA UKAWA 10/14. TUTAWATUMIKIA!"-Wilfred Lwakatare

0 comments:
Post a Comment