Posted by Williammalecela.com on Saturday, October 31, 2015
Nyumba ya Diamond inayodaiwa si yake.
IMEVUJA!
Ile nyumba ya kifahari iliyoaminika ni ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu
Abdul ‘Diamond’ imefahamika kuwa siyo yake kama wengi walivyokuwa
wakifahamu.
Diamond Platinumz.
0 comments:
Post a Comment