Dar
es Salaam. Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM),
Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema,
Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi
hiyo.
Pia
Profesa Mkumbo alisema mgombea huyo kisheria, hakuwa na haki ya
kujitangaza mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi wa mwaka huu..
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment