Wednesday, October 14, 2015




@Balozi Mwapachu wala hata sikujua kwamba ni Mwanachama wa CCM mpaka jana alipotangaza kujitoa, HOWEVER ninaomba kusema hivi Mwapachu amewahi kushika nafasi kubwa za Taifa na hata kuwa Balozi ameishi sana nje pia, anaihama CCM kwa sababu moja tu kubwa kwamba rafiki yake mkubwa Lowassa hakupitishwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea urais.
- Ninajiuliza sana kuhusu uwezo wake wa kuelewa na kufikiria Siasa in general maana kwa maneno rahisi na yeye kama Kingunge wanaamini Lowassa
was bigger than CCM, walishaamua mapema sana kwamba haijalishi the Process Lowassa lazima awe mshindi, kwa kweli ni vyema wamejitoa CCM haya mawazo potofu sana na ninasema hawa ni Kingunge na Mwapachu ni watu wa hatari sana kwa Taifa, hawajui maana ya UCHAGUZI binafsi ninawaombea heri na safari yao ya huko UKAWA iwapatie kiu yao ya Lowassa kuwa Rais, maana kama ni kweli wanajali haki wanayoidai wanapaswa kuelewa kwamba UKAWA ilikuwa na mgombea Urais tayari Dr. Slaa ambaye amekatwa jina ghafla kwa sababu ya Lowassa je vipi hilo wameliona au wameliona kwenye CCM tu? Hili Taifa kumbe tulikuwa tunaongozwa na Viongozi wengi wababaishaji ninasema hawa kina Mwapachu na Kingunge walikuwa ni Viongozi wababishaji na ni vyema wakati umefika tumewajua waende salama! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! - le Mutuz Nation

1 comment:

  1. Bro...That's why with my understanding of Politics and CCM...I know for sure ...Hawa wote wanaohama Chama...Like Sumaye,Kingunge and Mwapachu hawana impact yoyote kwa siasa na CCM kwa ujumla.whether they stay or go. Can you believe Kuna vitoto huko Ig vinauliza who is Mwapachu.?? Hawajawahi hata kumsikia.Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete