@LE MUTUZ NATION STRAIGHT TALK!!:- Hatimaye ninakubali ukweli kwamba my Super Friend Super Bilionea Davis Mosha, aliyekuwa akigombea Ubunge CCM Moshi Mjini ameshindwa kupita kura hazikutosha, mimi binafsi niliwahi kugombea Ubunge wa East Africa nikashindwa lakini nikagombea Nafasi zingine za CCM Taifa nikashinda!!
- Wananchi wameongea kura zao ndio mwisho wa uchaguzi, last week nilikwenda Moshi Mjini na kujionea mwenyewe kwamba kulikuwa na ugumu kidogo, well all and all ni kujaribu kwanza tumeshindwa na sasa twende mbele kama ni vyeo CCM inavyo vingi sana again WANANCHI WA MOSHI MJINI thank U kwa kumpa nafasi ya kujaribu to my Super Friend na sasa turudi nyuma na kujipanga tena for uchaguzi ujao!! MOSHI MJINI HOYEEE NA CCM HOYEEE TAIFA KWANZA!! - le Mutuz Nation


0 comments:
Post a Comment