Posted by Williammalecela.com on Sunday, October 25, 2015

 |
@LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Baada ya Kampeni za Uchaguzi kwa miezi 2 sasa leo tumefikia mwisho wa
the Marathon ya ushindani, tumepiga kura na sasa kilichobaki ni Tume ya
Uchaguzi kutoa majibu, Binafsi nimekuwa nikijitolea kutumia my influence
ya Social Media kukipigania Chama changu CCM ambacho nina uhakika 100% kuwa KINASHINDA UCHAGUZI HUU, mwanzo wa hivi vita
nilisema kwamba ninaingia vitani na nikawaomba wale wote ambao
tunaheshimiana wakae pembeni mpaka Vita itakapokwisha. Leo ninasema Vita
imekwisha na BINAFSI NINAWAOMBA RADHI WALE WOTE AMBAO KWA NAMNA
MOJA AU NYINGINE LUGHA YANGU YA KUPIGANIA ITIKADI YA CHAMA CHANGU CCM
NILIWAKWAZA AU KUWAUMIZA it was a War na sasa imekwisha, again kama kuna
niliyemkwaza NINAMUOMBA SANA RADHI YALIYOPITA YAMEPITA KAMPENI
ZIMEKWISHA, TUSONGE MBELE KAMA TAIFA:- - NINASEMA ninaamini chama
changu CCM kimeshinda kwa 100%, lakini hata kama ikitokea the impossible
kikashindwa nitakubali matokeo, Tanzania mbele na MUNGU AIBARIKI
TANZANIA!! - le Mutuz Nation |
0 comments:
Post a Comment