Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi wa Dira Media Group, Alex Msama, pamoja na Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Augostino Mrema, walipokutana kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za kuapishwa Rais Dk. Magufuli.
Rais Dk. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Dira Media Group, Alex Msama, walipokutana kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za kuapishwa Rais Dk. Magufuli. Anayeshuhudia ni Augostino Mrema.
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya, Raila Odinga, akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Dira Media Group, Alex Msama, walipokutana kwenye viwanja vya Ikulu wakati wa sherehe za kuapishwa Rais Dk. John Pombe Magufuli.
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya, Raila Odinga na Mkurugenzi wa Dira Media Group, Alex Msama walipokutana kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za kuapishwa Rais Dk. Magufuli kulia ni msanii Emmanuel Mbasha.
Mkurugenzi wa Dira Media Group, Alex Msama akiwa na Msanii Emmanuel Mbasha , walipokutana kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe za kuapishwa Rais Dk. Magufuli. Anayeshuhudia ni Augostino Mrema.
0 comments:
Post a Comment