Saturday, November 28, 2015


Anna-Banner-Miss Nigeria, 2012, Anna Ebiere Banner.Anna-Banner-on ALIYEWAHI kuwa Miss Nigeria, 2012, Anna Ebiere Banner ameamua kuachana na urembo na kugeukia ujasiriamali.

Anna-Ebiere-Banner-oStaa huyo ambaye yupo kimahusiano na nyota wa muziki kutoka Nigeria, Mr. Flavour kupitia ukurasa wake wa Instagram alitupia picha za mabegi na kuandika maneno yaliyosomeka;
“Habari wapendwa! Nina vitu naviuza, asanteni kama mmevutiwa navyo.”
Anna kwa sasa ana mtoto mmoja wa kike, Sophia aliyejifungua hivi karibuni na Mr. Flavour.

0 comments:

Post a Comment