MKONGWE wa filamu Nollywood, Ini Edo juzi kati ‘aliwasapraiz’ mashabiki wake kwa kuangusha maombi mfululizo kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa rafiki yao ambaye pia ni msanii, Oge Okoye.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Ini Edo alitupia picha zote za tuki hilo na nyingine akiwa na marafiki zake Rukky Sanda, Tana Adelana, Ebube Nwagbo na wengine wengi.
0 comments:
Post a Comment