Thursday, November 12, 2015


Siku moja tu mara baada ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya taifa ya Muhimbili na kukuta baadhi ya mashine zikiwa hazifanyi kazi, mashine hizo zimeanza kufanya kazi baada ya agizo la rais kutaka zifanye kazi ndani ya siku saba.
Posted by ITV Tanzania on Wednesday, November 11, 2015

0 comments:

Post a Comment