Thursday, November 12, 2015


Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu saba wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na pia wanajihusisha na ugaidi ambao walikuwa na nia ya kuvuruga uchaguzi wakati mchakato wa uchaguzi ulipokuwa unaendelea.
Posted by ITV Tanzania on Wednesday, November 11, 2015

0 comments:

Post a Comment