Posted by Williammalecela.com on Monday, November 16, 2015
Ufaransa
imefanya mashambulizi ya nguvu ya anga kwenye Mji Mkuu wa Kikundi cha
Wanamgambo wa IS Raqqa nchini Syria, siku mbili tu baada ya kikundi
hicho kushambulia Jiji la Paris na kupelekea vifo vya watu 129
-Mashambulizi hayo yalifanywa kwa kushirikiana na vikosi vya Marekani
0 comments:
Post a Comment