Friday, November 27, 2015

#‎BREAKINGNEWSSSS‬ Waziri mkuu ‪#‎Majaliwa‬ ameamrisha maofisa kadhaa wa mamlaka ya mapato ‪#‎TRA‬ wakamatwe na wengine 6 kufukuzwa kazi mara moja hii ikiwa ni pamoja na kusalimisha ‪#‎hati‬ zao za kusafiria yaani ‪#‎passport‬.

Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya ‪#‎bilioni80‬ ambayo data za mamlaka ya bandari inazo lakini kwenye mifumo ya #TRA hayaonekani.
Jamani tuache kufanya kazi kwa mazoea.Waziri Mkuu ameamuru pia kukamatwa mara moja kwa Kamishna wa Forodha Bw. Tiagi Masamaki na akabidhi hati yake ya kusafiria.




1 comment:

  1. Mimi hapa ndipo napoaachwa hoi kwa kujiuliza yafuatayo; hivi Myinyi, Mkapa, na JK walikuwa wanafanya nini katika utawala wao? Wananchi walilalamika sana lakini hakuna kilichofanywa na hawa marais. Tafadhali Magufuli kamata hawa marais na kuwafunga mara moja.

    ReplyDelete