![]() |
| #BREAKINGNEWSSSS Waziri mkuu #Majaliwa ameamrisha maofisa kadhaa wa mamlaka ya mapato #TRA wakamatwe na wengine 6 kufukuzwa kazi mara moja hii ikiwa ni pamoja na kusalimisha #hati zao za kusafiria yaani #passport. Hii imekuja baada ya kugundulika kwamba kuna makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya #bilioni80 ambayo data za mamlaka ya bandari inazo lakini kwenye mifumo ya #TRA hayaonekani.
Jamani tuache kufanya kazi kwa mazoea.Waziri Mkuu ameamuru pia kukamatwa mara moja kwa Kamishna wa Forodha Bw. Tiagi Masamaki na akabidhi hati yake ya kusafiria.
|
Friday, November 27, 2015
Posted by Williammalecela.com on Friday, November 27, 2015
1 comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




Mimi hapa ndipo napoaachwa hoi kwa kujiuliza yafuatayo; hivi Myinyi, Mkapa, na JK walikuwa wanafanya nini katika utawala wao? Wananchi walilalamika sana lakini hakuna kilichofanywa na hawa marais. Tafadhali Magufuli kamata hawa marais na kuwafunga mara moja.
ReplyDelete