Saturday, November 14, 2015

Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, na aliyekuwa mgombea wa Ubunge Busanda ndg Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro kwa sababu zinazohusishwa na siasa.

0 comments:

Post a Comment